Wednesday, April 18, 2012

JE NI SAHIHI KUSEMA KUWA BINADAMU AMETOKANA NA SOKWE


Huyu ni sokwe akitembea kama binadamu je wahistoria wako sahihi ?.     Na Samson Isack                                                                                                                 

Saturday, April 7, 2012

CHADEMA yaishika pabaya Arusha

Na solomon ole lekui

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hii leo kimefanya mkutano mkubwa jijini Arusha ambapo kimetoa ufafanuzi juu ya maamuzi yake kuwavua uanachama waliokuwa Madiwani wa chama hicho.
Ikumbukwe kuwa jana Godbless Lema alishatoa CD ya kuonyesha kilichojiri hadi kupelekea madiwani hawa kufukuzwa chamani.
Hii leo chama hicho kimekusanya umati wa wananchi ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amehutubia.

Baadhi ya picha za mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC - Arusha hii leo...









 Umati mkubwa wa wakazi wa Arusha waliojitokeza katika mkutano wa chadema leo





View Post









Wednesday, April 4, 2012

LOLIONDO KWA BABU

Na Joram Cosmas










foleni kwa babu yapungua..Waooooooooo....................

TANESCO YAPELEKA UMEME KIGOMA

Na Cosmas Joram









Wagharimu mamiliolni ya fedha za kitanzania, zaidi ya milioni 1ooo za tumika.