Tuesday, March 27, 2012

Vita ya Arumeru ni ngumu kwa CCM kuliko ilivyokuwa IGUNGA: Chadema jipangeni

Na Solomon Ole Lekui

Kampeni za Igunga ziliwaacha wana chadema na msiba wa kada/wakala wao alie uwawa na wanaccm...
Natambua jukumu la kulinda watanzania ni la serikali ya CCM na si la CHADEMA lakini hatuwezi kukaa kimya tukiona wenzetu wakiteketea, kwa hali ilivyo hapa Arumeru CCM wamewazidiwa sana si ajabu siku za mwisho mwisho wakachukua maiti hata mochuari na kuweka barabarani ili ionekane CHADEMA wamefanya mauji kama propagada za kutafuta kura za huruma kwani hali ya CCM huku Arumeru ni mbaya mno na je wamejipangaje kulinda usalama wa makada/mawakala wao...
Name:  attachment.jpg
Views: 0
Size:  475.3 KB
hii ni picha ya kada wa CHADEMA  aliyeuwawa huko Igunga wakati wa uchaguzi mdogo

Mbowe atoa mwaliko wa mkesha siku ya kupiga kura

Na Solomon Ole Lekui
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akihutubia mikutano ya kumnadi mgombea wake Joshua Nassari juzi na jana, ametoa mwaliko kwa wanachama na wafuasi wote wa chama hicho kwamba wafike kwenye mkesha wa kusubiri matokeo ya uchaguzi huo eneo la Leganga, jirani na Halmashauri ya Meru.

Mbowe alisema mara baada ya kubandikwa kwa matokeo katika vituo vyao, wapiga kura kwa pamoja wanapaswa kuelekea katika eneo la Leganga kusubiri matokeo ya uchaguzi.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mulala, Kata ya Songoro nyumbani kwa mgombea wa chama hicho, Nassari, Mbowe alisema: “Naomba mara baada yakupiga kura, utakaa mita 103 kutoka kwenye kituo, hadi matokeo ya kituo chako yatakapobandikwa, chukua kanga, baiskeli, punda, gari au usafiri wowote tukutane Usa River ambapo tutafanya mkesha wa kusubiri matokeo.”

Alisema uamuzi huo umechukuliwa baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba kuna shinikizo la kumtaka Msimamizi ya Uchaguzi, Kagenzi atangaze matokeo tofauti hata kama Chadema watakuwa wameshinda.

“Ndugu zangu msigope kitu, tutakwenda kulala wote Usa River kusubiri matokeo yetu na kama wakitubia haki ya Mungu safari hii hatutakubali,” alisema Mbowe. Mbowe aliwataka polisi siku ya uchaguzi kuwaacha Chadema na CCM wachuane wenyewe kwani kazi yao ni kulinda amani na siyo kuilinda CCM.

Mapema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema aliwataka wakazi wa jimbo hilo, wasiwena hofu ya wingi wa polisi katika maeneo yao akisema haijawahi kutokea hata siku moja bunduki ikazidi nguvu ya umma.

“Makamanda jitokezi kupiga kura kuanzia saa 12:00 jioni mkimaliza msubiri matokeo na baada ya hapo tukutane Usa River na hapo kutakuwa na makada wenzenu kusubiri matokeo.”

Katika mkutano huo, Viongozi wawili wa CCM, akiwemo Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wa Tawi la Mulala, Eribariki Manjeka alirudisha kadi ya CCM na kujiunga na Chadema pamoja na William Nassari ambaye aliwahi kuwa Katibu Mwenezi na Itikadiwa CCM katika kata hiyo.

Kwa watu wenye akili za kawaida wanajua umuhimu wa kumchagua Nassari kuliko mtu wanaejua kuwa hatofanya kitu daima. Kama babake alishindwa akiwa Naibu waziri wa fedha, je wewe atawezaje
Click image for larger version. 

Name: bbb.jpg 
Views: 0 
Size: 92.2 KB 
ID: 50276
Mgombea wa CHADEMA akiomba ridhaa ya kuongoza wana wa Arumeru jana

Click image for larger version. 

Name: aaaa.jpg 
Views: 0 
Size: 533.4 KB 
ID: 50275Click image for larger version. 

Name: ccc.jpg 
Views: 0 
Size: 582.5 KB 
ID: 50277Click image for larger version. 

Name: ddd.jpg 
Views: 0 
Size: 415.6 KB 
ID: 50279

Saturday, March 24, 2012

MALI HIT BY LOOKING AFTER COUP PRESIDENT AMADOU TOUMANI TOURE "SAFE"

Soldiers stand guard outside the presidential palace after a military coup in Bamako ,Mali Friday March 23 /2012.

NGOZI OKONJO KUGOMBEA URAIS WA BENKI YA DUNIA

  k



 Na  Samson Isack
Waziri wa fedha  wa Nigeria  Ngozi ameteuliwa kugombea nafasi ya Urais wa benki ya dunia

Friday, March 23, 2012

NGOZI OKONJO AWNIA KUGOMBEA URAIS WA BENKI KUU YA DUNIA

Wa

WATANZANIA TUJIVUNIE KWA VAZI GANI LA KITANZANIA?


wasichana wa Switzerland na vazi lao ambalo linajulikana dunia kote,je Tanzania tunajivunia nini kama wenzetu wanavyofanya huko uswazi?\

 Na Samson Isack

WATANZANIA TUJIVUNIE KWA VAZI GANI LA KITANZANIA? Na Samson Isack

hawa ni wasichana wa  Switzerland na vazi lao,  ambalo dunia nzima linajulikana

JIONEE TOFAUTI MIKUTANO YA HADHARA.

Na solomon Ole Lekui

Kuna tofauti gani kati ya HUYU HAPA CHINI


na HUYU HAPA CHINI??
Check kitu kiunoni!!!!!!!!!!!!!!!

RAIS WA KESHO.........

Na Solomon Ole Lekui

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa Akuatana na Walimu wa Shule ya Sekondari ya Engutoto,Monduli Kujadili Hali ya Elimu ya Shule Hiyo

Na Solomon Ole Lekui

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza kwa kusisitiza wakati wa mkutano wake na Walimu wa Shule ya Sekondari ya Engutoto,Wilayani Monduli kuhusiana na hali ya elimu katika shule hiyo kutoridhisha na kupelekea wanafunzi wengi wa shule hiyo kufeli kwenye mtihani wa taifa wa kidato cha nne.Mkutano huo umefanyika leo shuleni hapo,ambapo walimu wa shule hiyo walitoa changamoto mbali mbali wanazomabiliana nazo.Mh. Lowassa amewaasa walimu wa Shule hiyo kuwa wafanye kazi kwa juhudi ili kuwaandaa vijana wa taifa la baadae.Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo,Bw. Joseph Lukumay.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Shule ya Sekondari ya Engutoto,Bw. Joseph Lukumay akitoa maelezo mafupi na kuwataka walimu wa shule hiyo kuanza kuzungumzia ni kwanini shule yao imefanya vibaya kwenye mtihani wa taifa wa kidato cha nne.
 Afisa Elimu Wilaya ya Monduli,Bw. Shaaban Mngunye (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (wa pili kulia) wakati wa mkutano na Walimu wa Shule ya Sekondari ya Engutoto,Wilayani Monduli.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo,Mwl. Ally Muyago na wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo,Bw. Joseph Lukumay.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Shule ya Sekondari ya Engutoto iliyopo Wilayani Monduli Mkoani Arusha,Mwl. Ally Muyago akitia taarifa fupi ya shule yake kwa Mh. Edward Lowassa ambaye ni Mbunge wa Jimbo hilo la Monduli,wakati wa mkutano wake na Walimu wa Shule hiyo kuhusiana na hali ya elimu katika shule hiyo kutoridhisha na kupelekea wanafunzi wengi wa shule hiyo kufeli kwenye mtihani wa taifa wa kidato cha nne.
 
Afisa Elimu Wilaya ya Monduli,Bw. Shaaban Mngunye (kushoto) akifafanua jambo wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunde wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa kabla ya kuanza kwa mkutano na Walimu wa Shule ya Sekondari ya Engutoto iliyopo Wilayani humo.
Walimu wa Shule ya Engutoto iliyopo Wilayani Monduli Mkoani Arusha,wakizungumzia changamoto mbali mbali wanazokabiliana nazo katika kazi yao ambapo wengi wamedai kuwa inachangia kwa kiasi fulani kudhorota kwa elimu katika shule hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsikiliza kwa makini,Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Shule ya Sekondari ya Engutoto,Bw. Joseph Lukumay.

Thursday, March 22, 2012

Rais Wa Mali Aondolewa madarakani

Na solomon Ole Lekui

Picha kwa hisani ya mjengwablog

Soldiers overthrew Mali's military dictator today after days of rioting and promised to replace Gen. Moussa Traore's "bloodthirsty and corrupt regime" with a multiparty democracy.

At least 59 people were reported killed in violence after the overnight coup, including two top Traore supporters who were burned to death. General Traore had ruled this West African nation for 23 years.

"The army will no longer meddle in politics," the coup leader, Lieut. Col. Amadou Toumani Toure, pledged in a radio broadcast. He said that "the army will return to its barracks" after establishing "social justice and total democracy."

General Traore's whereabouts was not known, although the state radio said he was under arrest. Unconfirmed reports said the President had been caught at the airport as he tried to flee the country. State radio announced that the military had closed Mali's borders and its international airport.

Residents of Bamako, the Mali capital, cheered and set off firecrackers to celebrate the news of the ouster of General Traore. But medical officials said 59 people had been killed and about 200 wounded in post-coup violence, including revenge attacks. The officials said Education Minister Bakary Traore and the ousted leader's brother-in-law, Mamadou Diarra, were burned to death and their bodies left at Gabriel Toure Hospital.
Ads by Google

Widespread looting also broke out, and it continued today despite appeals from pro-democracy leaders and the new ruling National Reconciliation Council, a group of 17 soldiers.

The new Government, in a communique read on official radio, announced the disbanding of the Traore Government and his People's Democratic Union, the sole legal political party.

Coup leaders promised to work with the Committee of Pro-Democracy Associations, and its chairman, Demba Diallo, praised "this group of patriotic officers," saying the new leadership had solicited the opposition for advice. France Welcomes Move

France, Mali's former colonial master, welcomed General Traore's ouster. A Foreign Ministry spokesman, Daniel Bernard, said Mali's situation "appears promising and full of hope."

The Paris-based International Human Rights Federation said it hoped that the coup would end "violence and assassinations for which the President should be held responsible." But it warned against "blind vengeance, arbitrary arrests and summary executions."

Coup leaders said in a communique that they were forced to act to "put an end to the bloodthirsty and corrupt regime of Moussa Traore."

General Traore seized power in a coup in 1968, eight years after independence from France, and installed himself as President of a one-party state in 1979.

Unrest that began in January follows years of economic decline in Mali, a drought-prone country of 8 million. Civil servants had not been paid in months.

Violence began Friday when students staged a protest to demand payment of scholarships and an independent inquiry into the torture deaths of an imprisoned student leader and other Government critics.

Troops fired on the demonstrators, killing 28 and starting three days of riots that drew tens of thousands of people into the streets. Students with homemade firebombs set several Government buildings ablaze. Opposition leaders said General Traore's forces killed 148 people and wounded hundreds; the general contended that only 27 people die.

Rais Jakaya Kikwete afunga maonesho ya maadhimisho ya wiki ya maji mkoani Iringa

Na Hija Mkali




Sunday, March 18, 2012

                                          Wachezaji wa mpira wa wavu wa Tumaini wakipeana
                                           moyo baada ya kupoteza mpira
                                          Wachezaji wa Tumaini wakiwa makini kumsikiliza
                                           refa wamchezo
                                           Mchezaji wa TEKU akiinuka mara baada ya kuanguka
                                           kulikotokana na kushindwa kuzuia smash ya mmoja wa
                                           wachezaji Tumaini
                                           Wachezaji wa TEKU wakiwa makini kurudisha mpira
                                            kwenye eneo la Tumaini

Friday, March 16, 2012

Maadhimisho ya wiki ya maji yaanza mkoani Iringa.

Na. Frank Kimaro

matukio katika picha
katika banda la AMREF mambo yalikua hivyo watu wakiangalia vitu mbalimbali katika maonesho.


Bomba lililotengenezwa maalumu kwa ajili ya maonesho hayo
 
Mawakala wa kampuni ya bia ya Serengeti wakiwa ndani ya bango lao.
 
Kikundi cha ngoma kikiwa kinatumbuiza katika maadhimisho hayo.



BAADA YA KUONEKANA KUWA RAISI ATAHUDHURIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SHEREHE HIZO UKARABATI WA BAADHI YA BARABARA UMEANZA KAMA INAVYOONEKANA KWENYE PICHA HAPO CHINI . SWALI LINAKUJA KWAMBA WALIKUWA WAPI KUKARABATI SIKU ZOTE INA MAANA PESA ZINATOLEWA NA SERIKALI KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA ILA HAZITUMIKI KAMA INAVYOPASWA.

Kipande cha barabara kinachotengenezwa maeneo ya  mshindo manispaa ya  Iringa baada ya kuonekana  raisi atazuru katika manispaa hiyo.

Monday, March 12, 2012

Uzinduzi wa kampeni za CCM arumeru

Na solomon ole lekui

Baada ya chama cha demokrasia na maendeleo kuzindua kampeni zake huko arumeru ya mashariki siku chache ilizopita, chama cha mapinduzi nacho kimezindua kampeni zake leo hii. Vyama hivyo viwili vimezindua kampeni hizo ikiwa ni nafasi ya kipekee kwao kuwanadi wagombea wa kiti cha ubunge kupitia vyama vyao baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo solomon sumari kuaga dunia miezi michache iliyopita.

wakiongeaa kwa mbwembwe na bashasha, wabunge na viongozi wa CCM wameapa kushinda katika uchaguzi huo kwani CCM ni chama kilichokomaa na chenye sera nzuri.

Mabasi mengi yalionekana yakiingia kutoka sehemu mbalimbali kama engereyan,ngabobok na maeneo ya mbali ya jimbo hilo kuja kushuhudia uzinduzi huo. Aliyeandalia kuzindua kameni hizo ni rais wa awamu ya tatu mh. mkapa a.k.a Mr. clean


Mh. john komba

Basi la kampuni ya URIO safaris lililokuwa likiwatoa watu kutoka maeneo mbalimbali ya Arumeru kuja kushuhudia uzinduzi wa kampeni za CCM



wapenzi na wakereketwa wa CCM wakisubiri kwa hamu uzinduzi wa kampeni za chama chao



HATA WACHEZA TAARABU WALIKUWEPO



Picha zote kwa hisani ya http://www.mjengwablog.com/