Saturday, April 21, 2012
Wednesday, April 18, 2012
Monday, April 9, 2012
Saturday, April 7, 2012
CHADEMA yaishika pabaya Arusha
Na solomon ole lekui
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hii leo kimefanya mkutano mkubwa jijini Arusha ambapo kimetoa ufafanuzi juu ya maamuzi yake kuwavua uanachama waliokuwa Madiwani wa chama hicho.
Ikumbukwe kuwa jana Godbless Lema alishatoa CD ya kuonyesha kilichojiri hadi kupelekea madiwani hawa kufukuzwa chamani.
Hii leo chama hicho kimekusanya umati wa wananchi ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amehutubia.

Baadhi ya picha za mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC - Arusha hii leo...

Wednesday, April 4, 2012
TANESCO YAPELEKA UMEME KIGOMA
Na Cosmas Joram
Wagharimu mamiliolni ya fedha za kitanzania, zaidi ya milioni 1ooo za tumika.
Wagharimu mamiliolni ya fedha za kitanzania, zaidi ya milioni 1ooo za tumika.
Monday, April 2, 2012
CHADEMA YAIBUKA KIDEDEA ARUMERU MASHARIKI
Subscribe to:
Posts (Atom)