Saturday, April 7, 2012

CHADEMA yaishika pabaya Arusha

Na solomon ole lekui

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hii leo kimefanya mkutano mkubwa jijini Arusha ambapo kimetoa ufafanuzi juu ya maamuzi yake kuwavua uanachama waliokuwa Madiwani wa chama hicho.
Ikumbukwe kuwa jana Godbless Lema alishatoa CD ya kuonyesha kilichojiri hadi kupelekea madiwani hawa kufukuzwa chamani.
Hii leo chama hicho kimekusanya umati wa wananchi ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amehutubia.

Baadhi ya picha za mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC - Arusha hii leo...









 Umati mkubwa wa wakazi wa Arusha waliojitokeza katika mkutano wa chadema leo





View Post









No comments:

Post a Comment