Kampeni za Igunga ziliwaacha wana chadema na msiba wa kada/wakala wao alie uwawa na wanaccm...
Natambua jukumu la kulinda watanzania ni la serikali ya CCM na si la CHADEMA lakini hatuwezi kukaa kimya tukiona wenzetu wakiteketea, kwa hali ilivyo hapa Arumeru CCM wamewazidiwa sana si ajabu siku za mwisho mwisho wakachukua maiti hata mochuari na kuweka barabarani ili ionekane CHADEMA wamefanya mauji kama propagada za kutafuta kura za huruma kwani hali ya CCM huku Arumeru ni mbaya mno na je wamejipangaje kulinda usalama wa makada/mawakala wao...
Name:  attachment.jpg
Views: 0
Size:  475.3 KB
hii ni picha ya kada wa CHADEMA  aliyeuwawa huko Igunga wakati wa uchaguzi mdogo