b
Mtoto huyu anatafuta samaki kwa njia ya mkono Na kweli akafanikiwa kupata samaki aina ya kambale kama inavyoonekana hapo juu
Mvua ilipozidi kunyesha mambo yalikua hivi, maji ya kutosha kwenye nyumba za watu.
Na Frank Kimaro
No comments:
Post a Comment