| Sehemu ya wageni katika Kongamano hilo. |
| Mhadhiri wa Chuo Cha Tumaini Bw. Kabaka akichangia hoja katika kongamano hilo. |
| Naibu Meya wa Manispaa ya Mkoa wa Iringa Mh.Gervas Ndaki akichangia mada. |
| Makamu wa Raisi wa Chuo Kikuu Cha Tumaini akichangia mada katika Kongamano hilo. |
| Sehemu ya Washiriki kutoka vyuo vya Tumaini,Mkwawa na Ruco wakisikiliza mada mbalimbali. (posted by Sixtus Bahati.) |
No comments:
Post a Comment