Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh.John Mnyik atolewa nje ya Bunge mjini Dodoma leo.
| Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh.John Mnyika akitolewa nje ya ukumbi wa Bunge baada ya kukataa kubadili kauli yake ya kumdharau Rais Jakaya Kikwete. |
| Mbunge wa Ubungo akisindikizwa na masajent wa Bunge kutoka nje baada ya kuamuriwana na Naibu spika Job Ndugai |
No comments:
Post a Comment